Hongera sana, wewe ni kipaji!.
- Beat nzuri imetulia
- Rhyme pia nzuri umejitahidi sana kuzama na vina
- Kwenye lyrics kuna few typos
- Flow pia umejitahidi
- Genre yake ni hip hop, hivyo kama ni kipaji unacho ila kwa Bongo hip hop hautoki, wanamuziki karibu wengi wa hip hop wako chali!. Hivyo kama ni kuimba just for fun and hobbies, kitu iko poa ila kama ni kutoka na kutusua then boresha!.
NB. Umefanana na LL Cool J, nilipokusikiliza nikakumbuka I need love
ukikomaa utakuwa kama huyu jamaa.
Sijajua kwanini hip hop Bongo wanafeli toka kwa akina Doplomatz ya Adili Kumbuka, wakaja kina Balozi Dola Soul', Ramsey, Sugu, Afande Sele, Fid Q, ndipo sasa zikaibuka East Coast na West Coast madogo wa Upanga wakaibuka kina Mwana FA na Temeke kina Juma Nature na wengine.
Mimi enzi hizo ni DJ on the Radio wa ExTS of RTD.
Waanzilishi wa Bongo HipHop/Flava ni nani??
Hongera sana!.
P