nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Usijari kuhusu hilo na pia inatakiwa nyie ninapoleta mteja msishuke chini ya ile tuliyokubalianaSawatu Ila uhakikishe mteja atafika Hiyo bei, siyo unamwambia bei 5M anapambana na tajiri anafika 4.5M ukategemea kupata chochote.
karibu tufanye kazi