Karibu uwekeze kwenye biashara ya magari used

Ukilenga magari ya Zambia vipi process ya kuipitisha mpakani hadi ifike Bongo ikoje?na kuisajili haina mlolongo mrefu?
 
Haya magari ya Malawi na Zambia ushuru hauhusiki? Na je ukiweka ushuru yatakulipa?
 
Hii biashara pia jitahid usiwe muoga wa kwenda polisi maana unaweza ukashikishwa gari muda wowote ukaingia lockup cha msingi hakiki documents kabla ya kununua
 
Hii biashara pia jitahid usiwe muoga wa kwenda polisi maana unaweza ukashikishwa gari muda wowote ukaingia lockup cha msingi hakiki documents kabla ya kununua
Ukiona mishe unayofanya hamna polisi anapitia ujue hutengenezi pesa,, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi na mwanangu milandu tukasema tupoint magari tuuze, gari ya kwanza sprinter tumeenda kuipoint mkuranga mbagala mbele mbele huko milion moja na lak 9. Tatizo la kwanza tu tunarudi tukasema embu tukipandishe kasprinter fly over uhasibu tuone....πŸ˜‚πŸ˜‚..... stori yake iliishia pale pale.
 
πŸ˜‚ Yaliwapata yepi?
 
Kipi kilitokea tupate kujifunza
 
Gari utazipata ila kuziua kazi unayo, wateja wote wanaokuja njaa kali wanakuja na hela kidogo hupati faida uliyojipangia, lazima iwe chini ya matarajio yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…