Karibu VETA

Harmful

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
163
Reaction score
619
Bado unalalamika???au ushakubaliana na mpango wa kuja VETA

We njoo VETA ila jua kuwa

1.tunawahi namba,ukichelewa Kuna adhabu Kali sana sio poa

2.Hatutongozani,mambo ya maboyfriend na magirlfriend mnaacha getini ukiingia ndani NO LOVE ni kusoma tu

3.fimbo zipo wanangu,halafu walimu wengi wa VETA ni wakurya kwahiyo anzeni mazoezi ya kuimalisha ugumu wa makalio na mikono

Na kingine ukitoka VETA inabidi usugue tena mtaani kupata uzoefu sio kwamba unapew ajira Moja kwa moja
 
Kinacho udhi huko VETA ni kuvaa sare km secondary.
Kila nikiwaona wanafunzi wake, nabaki naduwaa, hapana siwezi kwa kweli.
Ni km Primary School ndio maana iliwekwa kwa ajili ya waliotoka darasa la 7 wakafeli ndio ukawa mbadala wake baada ya hapo wakahamia form 4 waliofeli wote wakakimbilia Veta hilo ndio chimbuko la Veta sasa ukienda Veta maana yake wewe pamoja na GPA yako ya 4.5 huna ajira huna kazi basi huna tofauti na Darasa la 7 aliefeli Shule pia huna tofauti na form 4 aliezungusha akataga hana hata D moja akaenda kujifunza kuchomea mageti, upishi wa keki za maharusi, nk
 
Yap, ila mbona nursing wana vaa lakini.
Yaan level yoyote wanayovaa sare, sijui nawaonaje.
Tena Bora VETA wanavaa dark blue, ila Nursing wanavaa khakhi nawaona km 4m 3 B wa Maposeni Sec.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Hii inachoma km pasi,
Kwa upande wangu VETA siwezi enda kamwee, ujuzi bora nipatie mtaani.

Ila kuvaa sare za Dark blue na sweta la blue, km niko 4m 2 A hapana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa unavalia getini sare zako usiwaze
 
Kinacho udhi huko VETA ni kuvaa sare km secondary.
Kila nikiwaona wanafunzi wake, nabaki naduwaa, hapana siwezi kwa kweli.

Woiiiiih

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Wewe sare hizo wengine tunape da women in uniform tena za skirt...wee ulishaone warwmbo waki sauz kwenye zile uniform na walivyo na mipaja hadi raha....kule 30 years nje nje
 
Huna mtoto wewe, au mtoto wa ndugu yako unamuona kma dunga embe akivaa uniform?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…