Bado unalalamika???au ushakubaliana na mpango wa kuja VETA
We njoo VETA ila jua kuwa
1.tunawahi namba,ukichelewa Kuna adhabu Kali sana sio poa
2.Hatutongozani,mambo ya maboyfriend na magirlfriend mnaacha getini ukiingia ndani NO LOVE ni kusoma tu
3.fimbo zipo wanangu,halafu walimu wengi wa VETA ni wakurya kwahiyo anzeni mazoezi ya kuimalisha ugumu wa makalio na mikono
Na kingine ukitoka VETA inabidi usugue tena mtaani kupata uzoefu sio kwamba unapew ajira Moja kwa moja