Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta Uzi anamaanisha karibu ya ukarimu siyo ya umbali mkuuMbali-Karibu
We Monicca, Karibu, mhh! haya bibie!Karibu ni neno la ukarimu, linaonesha utu, utayari , uhiari.
Nalifurahia.
Eleza chochote kuhusu neno "karibu"
Na mimi nimeeleza Neno karibu kwa namna ingine....uwanja ni huruMleta Uzi anamaanisha karibu ya ukarimu siyo ya umbali mkuu
Sawa mkuuNa mimi nimeeleza Neno karibu kwa namna ingine....uwanja ni huru
KARIBU tena😀Ni neo la thamani sana lina burudisha moyo..napenda kulisikia tena na tena
Angeiona dunia chungu kulalekiUmepata jibu gana stunter?
nature must talk!Nawaza TU
KWAMFANO HUU UZI ANGEUPOSTI MWANAUME,
hehehehe
surenature must talk!
Mambo ya social linguistics hayonature must talk!