Karibu

Karibu

Ivi kwamfano Ndo umepewa nafasi uchague ugeuzwe kuwa Uwa,
Ungechagua uwe ua gani?
Rose
1479716612952.jpg
 
Karibu ni neno la ukarimu, linaonesha utu, utayari , uhiari.
Nalifurahia.

Eleza chochote kuhusu neno "karibu"
Moniccca naona uponyaji juu yako, haupo kwenye ratio ya 4:1 sasa
 
Hahahaha! Nimecheka sana mkuu, vya kuiga huwa havidumu nimerudi kwenye asili yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulijitahidi sana kujitoa ufahamu,,,nashukuru umerudia uhalisia
 
Back
Top Bottom