Ivi kwamfano Ndo umepewa nafasi uchague ugeuzwe kuwa Uwa,Hahahaha! Tunatofautiana mkuu sisi ni maua yenu
Moniccca naona uponyaji juu yako, haupo kwenye ratio ya 4:1 sasaKaribu ni neno la ukarimu, linaonesha utu, utayari , uhiari.
Nalifurahia.
Eleza chochote kuhusu neno "karibu"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha! Nimecheka sana mkuu, vya kuiga huwa havidumu nimerudi kwenye asili yangu.
karibuNi neo la thamani sana lina burudisha moyo..napenda kulisikia tena na tena