Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,930
- 2,565
Naona haitoshi kukaa na kuangalia tu,watu wanatoa michango hafifu na muelekeo wa jf unabadilika. kubwa zaidi maadili ya wengi yanatia shaka, nimeona si vyema kukaa kando bila kuja kupaza sauti yangu nami nisikike kwenu wadau wa jf... hivy naomba kusema rasmi hodiii !