Karibu sana, utapendelea kuweka makazi yako katika jukwaa gani?Naona haitoshi kukaa na kuangalia tu,watu wanatoa michango hafifu na muelekeo wa jf unabadilika. kubwa zaidi maadili ya wengi yanatia shaka, nimeona si vyema kukaa kando bila kuja kupaza sauti yangu nami nisikike kwenu wadau wa jf... hivy naomba kusema rasmi hodiii !
Jaribu kupita na majukwaa ya Chitchat na MMU siku ukiwa na stress...Karibu sana, utapendelea kuweka makazi yako katika jukwaa gani?
najaribu kuifahamu zaidi mitaa,napenda siasa kidogo na dini
Jamaa wanamuhisi ni mtoto wa ikulu hahahaaah!!nashukuru sana kaka Ritz, ila nakuonaga unawaponda jamaa wa chadema ! Dah