Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa taarifa,nauliza mwenye diploma ya ualimu na akaamua kujiendeleza kuchukua degree ya elimu lakini ameomba tcu kwa vyeti vya form six,JE anaweza kupata mkopo huyu kweli?heshima kwenu jf
Wa mastars je?
Asante kwa taarifa,nauliza mwenye diploma ya ualimu na akaamua kujiendeleza kuchukua degree ya elimu lakini ameomba tcu kwa vyeti vya form six,JE anaweza kupata mkopo huyu kweli?heshima kwenu jf
Me niko hvyo na niko chuoni. Napata mkopo kama kawaida, ila chonee chonde usiambatanishe cheti cha diploma kwenye form ya mkopo, wala ucseme ka umesoma dip. Kila la kheri
mimi nakushaur usitumie cheti cha dip kuombea mkopo tumia cha f6 kwan ukitumia cha dip wataona una pesa watakupa % kidogo.
mastars haitambuliki labda MASTERS!Wa mastars je?
Watanzania waliokuwa wanasubiri kwa hamu na gamu kutuma maombi ya kupata mkopo ili kuweza kusoma katika vyuo vya elimu ya juu muda umewadia. Maombi yataanza kupokelewa siku ya Jumatano tarehe 1/5/2013. Jiandae kwa kuweka kumbukumbu zako vizuri. mfano vyeti vya masomo ukizingatia kwamba namba za mtihani wa kidato cha Nne (Form Four) hutumika kwa utambulisho wa mwombaji. Kila la kheri waombaji.
Je kwa wale form six waliopo mafunzoni JKT inakuwaje?
naomba mnieleweshe hatua za kuapply
Je kwa wale form six waliopo mafunzoni JKT inakuwaje?
samahani unaweza ku2orodheshea baadhi ya viambatanisho muhimu????