Karibuni - Application HESLB (Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu)

viambatisho ambavyo nimetumia cheti cha form 4 na cheti cha sheria.
 
Asante kwa taarifa,nauliza mwenye diploma ya ualimu na akaamua kujiendeleza kuchukua degree ya elimu lakini ameomba tcu kwa vyeti vya form six,JE anaweza kupata mkopo huyu kweli?heshima kwenu jf

Me niko hvyo na niko chuoni. Napata mkopo kama kawaida, ila chonee chonde usiambatanishe cheti cha diploma kwenye form ya mkopo, wala ucseme ka umesoma dip. Kila la kheri
 
Asante kwa taarifa,nauliza mwenye diploma ya ualimu na akaamua kujiendeleza kuchukua degree ya elimu lakini ameomba tcu kwa vyeti vya form six,JE anaweza kupata mkopo huyu kweli?heshima kwenu jf

mimi nakushaur usitumie cheti cha dip kuombea mkopo tumia cha f6 kwan ukitumia cha dip wataona una pesa watakupa % kidogo.
 
Me niko hvyo na niko chuoni. Napata mkopo kama kawaida, ila chonee chonde usiambatanishe cheti cha diploma kwenye form ya mkopo, wala ucseme ka umesoma dip. Kila la kheri

nakubaliana na wewe % zote
 

Je kwa wale form six waliopo mafunzoni JKT inakuwaje?
 
Asante sana kwa taarifa nzuri kama hiyo. Kwangu ni kama tayari milango ya neema imefunguliwa. Thanks so much.
 
naomba mnieleweshe hatua za kuapply

Utalipa fedha kwa kutumia M-Pesa. *150# halafu chagua 4 ambayo ni malipo halafu chagua 3 amabayo ni chagua kwenye orodha, halafu chagua 7 ambayo ni huduma za elimu, halafu chagua 2 ambayo no HESLB halafu chagua 1 amayo ni namba ya kumbukumbu ya malipo (utaingiza namba zako za mitihani wa kidati cha Nne) endelea kufuata maelekezo mpaka uingize kiasi cha fedha, namba za siri na hatimaye thibitisha.
 
Hivi na kwa wale waliochuoni lakini mwaka jana hawakupata mkopo wanaomba upya kama first applicant?au kuna utaratibu mwingine
 
Waliomaliza mwaka huu matokeo hayajatoka,je kwao inakuwaje?:wanaweza kuomba sasa hivi?
 
kama 4m6 ulipata dv.3 ya point ya 15 na ulihitimu 2010 wawezapata mkopo?
 
samahani unaweza ku2orodheshea baadhi ya viambatanisho muhimu????

1. Picha 1 (passport size)
2. Cheti cha kuzaliwa
3. Cheti/vyeti vya shule
4. Barua ya admission (kama unayo)
5. Kama unaomba shahada ya pili au PhD unapaswa kuwa na document inayoonyesha kuwa unalipa deni la awali kwa muda wa miezi 12 iliyopita
6. Kama unaomba mkopo kwa ajili ya kusoma Masters au PhD uambatanishe barua ya mwajiri wako ambaye pia ni Guranter
7. Maombi yatumwe kwa njia ya EMS na utunze risiti kwa ajili ya uthibitisho.
8. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/6/2013.
 
samahani jaman wana jf mm nmemaliza diploma last year. 4m 6 nlimaliza 2010 nkapata division 3 ya 17 ECA nkapata principle mbili ya accounting na economics. Vp naeza pata mkopo kweli??? naombeni mnisaidie kunipa jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…