Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
- Thread starter
-
- #181
Yaan kabla ya kuniita hakikisha nina drip mkononi maana waeza nipoteza kwa jumla aiseeeHahahahahh[emoji23][emoji23][emoji23]binamuu unavisaa ivi huachi tu ww,ngojea nitakwita baadae[emoji13]
kakuamini sababu yuko kwa mke wa pili ngoja atoke huko ndo utamjua[emoji23][emoji23]Kashaniamini tayari sina presha tena mie
Nimeshakuja ndugu yangu nipe habari mana kule ni pagumu hata kusalimiana[emoji23][emoji23]Dear umefika na huku karibuu,nlikua nakungoja kwa hamu
hapana ww huyo mwite wifi yako [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nyama ya hamu arabian queen
kuitwa dia ,maana nineno huwa linaniketea ugonjwa wa moyo aiseeHahahaha [emoji23]kisa na mkasa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nimeshakuja ndugu yangu nipe habari mana kule ni pagumu hata kusalimiana
Nilikuwa nampa maana tu huyo shemhapana ww huyo mwite wifi yako [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sure tena anajilia vinono huko humwoni hapa mpaka jumapilii[emoji3][emoji3]Usitake kunipa preshaaa
dah bora aisee maana tusije tukatiana vidonda vya tumbo[emoji13]Ww ntakwita binamu tuuu
ok sawa maana isije ukautengeneza ubinamuNilikuwa nampa maana tu huyo shem
Ahsante. Nshakaribia hayo ndio mambo yangu napenda hatari. [emoji23] [emoji23][emoji477]Karibu kahawa[emoji16][emoji16]
Na kashata na vibiskut[emoji507][emoji514][emoji499][emoji2]
Alaf tuendelee
hawezi kukwambia ukweli aisee maana ukimpigia simu atakwambia yuko bankmzeewakungoa[emoji28][emoji1]uko kwa mke wa pili wa jangwani atiiii
vileja hulii ?maana Binam ndo anavipika hapa!!Ahsante. Nshakaribia hayo ndio mambo yangu napenda hatari. [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ok sawa maana isije ukautengeneza ubinamu
Abiria chunga mzigo wako[emoji23] [emoji23]ok sawa maana isije ukautengeneza ubinamu
Uliingia na viatu kwenye thread za watu kumbe wao wanaingia na ndala hapo unategemea nin[emoji23] [emoji23][emoji28][emoji1]tumekosa kazi ndo mana tumekuja humu kumaliza maongez,thread za watu tutakula ban buree[emoji79][emoji79]
ushaona ee kumbe wamjua usichomwacha nini[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Hahahahahaha kama kawaida yake[emoji23][emoji23]au atasema niko dubai napokea pesa
Vileja, kachori, kababu vyote nakula miee [emoji23] [emoji23] [emoji23]vileja hulii ?maana Binam ndo anavipika hapa!!
Kweli kabisa my mana siku zote haina mwenyewe unaweza kushangaa story zimenoga kumbe mnavuka mipaka. [emoji2] [emoji2][emoji28][emoji1]tumekosa kazi ndo mana tumekuja humu kumaliza maongez,thread za watu tutakula ban buree[emoji79][emoji79]