Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

hahaha jirani wivu sunnah muulize binamu atakwambia

[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji35] [emoji35] unaniharibia issue zangu ......hujui naweza pata Buzi humu humu kwenye kawaha sasa wakiona unanifatafata wataogopa[emoji14]
 
[emoji12] wengine wanywe kahawa mie ninywe wine sindiyo mwanzo wakuambiwa na hujumu uchumi wa nchii unataka waache kujadili jinsi ya kupambana na hii hali ngumuuu waanze kunijadili mm[emoji4]

....alafu huwa nikinywaga wine inakimbilia ikuluuu sasa sijui itakuwaje na kaka binamu sinaaa.....
...na jirani yangu humu naona keshatekwa na binamu yake........

.[emoji125]
Binam nimetokea muda muafaka kabisa huyo jirani wa ununio atarudi huwa hawapotei jumla.
 
[emoji35] [emoji35] unaniharibia issue zangu ......hujui naweza pata Buzi humu humu kwenye kawaha sasa wakiona unanifatafata wataogopa[emoji14]
hahaha acha tu waogope jirani ili nipate cha kukudalalia
 
Hamna kitu ka hicho, Trump na wigi lake hana ubavu wa kupambana na DPRK...
 
Jaman huyo mapanki mnaamini kabisa anaweza pigana na babu yake?..
Isije ikawa mjukuu anacheza na babu alafu babu akamchukulia poa tu mjukuu wake
 
Jana nilsikia Omari anataka kununua kiwanja tena hivi anapata wapi pesa....usawa huu wa Magu
 
Back
Top Bottom