Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
- Thread starter
-
- #321
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hapo ndio tunasema mwenye asili haachi asili labda awe amesafiri,
Hata kama kasafiri basi hakulipa nauli,
Na kama kalipa nauli basi haliahuka kituo cha pili.
hahaha huwa unatembea na waya wakukubusti kabisa ???Nikiwa na wewe problem zote zinakuwa solved.
asantw mkuu ila bila kashata ivo vitu vya uchungu haviendiKaribuni tupige vyombo
wakat mwingine deal uwe unazileta kijiweni ili wote tupate hata ya maji ya kunywaNdo maana nimerud tena kijiweni
Mzee ubinam tena, hebu endelea na arabian queen ubinam wenu si hapa tena maana nipo nasubiri kuwa official.hahaha binam utanisaidia kuandamana bila nguo?
hahaha huyo jirani nimechanganya mafaili aiseee[emoji4] [emoji4] [emoji4] niwie radhiMzee ubinam tena, hebu endelea na arabian queen ubinam wenu si hapa tena maana nipo nasubiri kuwa official.
Ongeza kahawahahaha
Amekwambia namnyanyasa?... Halafu nyumba zaidi ya moja sunna... Japokuwa Mimi bado.hahaha Tatizo lako ww si mkweli nyumba nyingi na una mnyanyasa dada angu
acha tu mzee kule hata sielewi kipi kinachoendelea kwa kweli maana kama movie vileUnajua siku hizi ukiwa na ndevu kibiti unahukumiwa kifo Binam
sawa mkuuwakat mwingine deal uwe unazileta kijiweni ili wote tupate hata ya maji ya kunywa
Binamu yako anaanza kachanganyikiwa sasa. Unamuona?hahaha binam utanisaidia kuandamana bila nguo?
Hahahaha
Eeewalaaa sasa nifuate[emoji124] [emoji124] [emoji39][emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
Wewe tu mamy popote utakaposema nitaenda maana kumoyo ndio huo unahamia kwako.
[emoji40] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahaha binam utanisaidia kuandamana bila nguo?
Yelewwwwwiiii.. Nakuja pm tuyajenge vizuri. [emoji125] [emoji125] [emoji125]Eeewalaaa sasa nifuate[emoji124] [emoji124] [emoji39]
[emoji39] helaaa helaaaaa helaaaa [emoji7] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yelewwwwwiiii.. Nakuja pm tuyajenge vizuri. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kapicha kidogo ka kusupport.Mwanzaa kumechafukaa watu watatu wanaohisiwa kuwa ni majambazi wameuwawa kutokana na majibishano ya risasi na askari polisi.........
Hata wewe unaweza kusindikizaKapicha kidogo ka kusupport.