Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

Hapo ndio tunasema mwenye asili haachi asili labda awe amesafiri,
Hata kama kasafiri basi hakulipa nauli,
Na kama kalipa nauli basi haliahuka kituo cha pili.
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Mzee ubinam tena, hebu endelea na arabian queen ubinam wenu si hapa tena maana nipo nasubiri kuwa official.
hahaha huyo jirani nimechanganya mafaili aiseee[emoji4] [emoji4] [emoji4] niwie radhi
 
Mwanzaa kumechafukaa watu watatu wanaohisiwa kuwa ni majambazi wameuwawa kutokana na majibishano ya risasi na askari polisi.........
 
Back
Top Bottom