Job John Lohay
Member
- Dec 27, 2016
- 8
- 3
Mimi nahitaji kahawa kali kabisa nitapatakwa wale wapenda story usisite kupita hapa,Tuje tupeane mawili matatu,na kubadilishana mawazo ,kupunguza mzongo wa mawazo
Tuko :Mubashara!
Migomo haianikiwi kwa sasa, mwenyekiti wa mtaa huu mpaka uchaguzi ujao wa 2020. Na wasipo badili mgombea wameumia maana mataa mzima watu hawamtaki.Sawa mkuu tuweke na tangawizi kwenye Gahwa?
Yule wananchi washamchoka wamepanga kuweka mgomo kumuondoa maana anafanya kijiji kama mali yake
Asante naona inamvuke kabisa[emoji477]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]huo siuwezi[emoji478]
[emoji1][emoji28]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huo wa mwenzako unapilipili[emoji2]
hahaha karibu kiongozi kwenye barza [emoji4] [emoji4] [emoji4]kahawa 3 kashata 2 naenda zangu job sasa. chai itasubili sana kwa gahawa.
usinicheke mkuu acha tuHahahahah
Kwema kiongozi ?Safi saaan
utakuja tu usijaliUsisahau uji wa pilpil maanga
mwambie maana m'bishi sana huyoNshakua my love tayar!!!ila ukae ukijua upo ktk foleni eee
ipo mkuu tukupe na kashata au?Mimi nahitaji kahawa kali kabisa nitapata
Na yeye analijua hilo na ndomana kukicha anajipanga ili msimtoe kwenye kitiMigomo haianikiwi kwa sasa, mwenyekiti wa mtaa huu mpaka uchaguzi ujao wa 2020. Na wasipo badili mgombea wameumia maana mataa mzima watu hawamtaki.
karibu ..!Sawa
vp tena mkuu !hutaki gahwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Kweli tunakunywa kawaha
Safi kwema ndugu?Habari wadau