Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

Sawa mkuu tuweke na tangawizi kwenye Gahwa?

Yule wananchi washamchoka wamepanga kuweka mgomo kumuondoa maana anafanya kijiji kama mali yake
Migomo haianikiwi kwa sasa, mwenyekiti wa mtaa huu mpaka uchaguzi ujao wa 2020. Na wasipo badili mgombea wameumia maana mataa mzima watu hawamtaki.
 
Migomo haianikiwi kwa sasa, mwenyekiti wa mtaa huu mpaka uchaguzi ujao wa 2020. Na wasipo badili mgombea wameumia maana mataa mzima watu hawamtaki.
Na yeye analijua hilo na ndomana kukicha anajipanga ili msimtoe kwenye kiti
 
  • Thanks
Reactions: tAi
Back
Top Bottom