Karibuni Baraza la Kahawa

Hakuna kitu kibaya kama kuchukiwa na unaowaongooza, hakuna jinsi ataputa uchanguzi wa 2020, mtaa ushamchoka.
Tatizo mwenyekiti hachaguliwi kwa kura za wanakijiji,.
maana kama zingekuwa zibachagua basi hata leo asingekuwepo ,
Huyu tunae mpaka 2025 tupo hapa utakuja niambia
 
Naitaka ila cna ela[emoji28]
Kunywa tu [emoji477] [emoji477] [emoji477] Acha woga utalipiwa shekh[emoji4] [emoji4] [emoji4] sie hatuna roho mbaya labda ww ndo utufanyie roho mbaya
 
Tatizo mwenyekiti hachaguliwi kwa kura za wanakijiji,.
maana kama zingekuwa zibachagua basi hata leo asingekuwepo ,
Huyu tunae mpaka 2025 tupo hapa utakuja niambia
Anasema yeye ndiye dereva safari inajua inaishia wapi maana hasikilizi abiria.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…