Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kibaya kama kuchukiwa na unaowaongooza, hakuna jinsi ataputa uchanguzi wa 2020, mtaa ushamchoka.Na yeye analijua hilo na ndomana kukicha anajipanga ili msimtoe kwenye kiti
Tatizo mwenyekiti hachaguliwi kwa kura za wanakijiji,.Hakuna kitu kibaya kama kuchukiwa na unaowaongooza, hakuna jinsi ataputa uchanguzi wa 2020, mtaa ushamchoka.
Naitaka ila cna ela[emoji28]vp tena mkuu !hutaki gahwa
ngoja uletewe!!![emoji477] [emoji477] [emoji477]Nipatie tangawizi tafadhali.
Salama kiongozi vp kwema huko?Habari za baraza la kahawa.
Kunywa tu [emoji477] [emoji477] [emoji477] Acha woga utalipiwa shekh[emoji4] [emoji4] [emoji4] sie hatuna roho mbaya labda ww ndo utufanyie roho mbayaNaitaka ila cna ela[emoji28]
Kwema kiongozi.Salama kiongozi vp kwema huko?
Jirani kapicha sina ngoja nifanye jitihadajirani tupia na kapicha basii[emoji87] [emoji87]
Anasema yeye ndiye dereva safari inajua inaishia wapi maana hasikilizi abiria.Tatizo mwenyekiti hachaguliwi kwa kura za wanakijiji,.
maana kama zingekuwa zibachagua basi hata leo asingekuwepo ,
Huyu tunae mpaka 2025 tupo hapa utakuja niambia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Sasa ninae mmoja kama unataka na ww nkuweke ktk foleni amna tatizo[emoji30]ntakuunga tu
Swalamaaa nilikuwa nakutafuta wewe yaheeHabari za baraza la kahawa.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji40] [emoji40] [emoji125]Naitaka ila cna ela[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huyu naye kanunua gari amepata wapi hela? halafu si nilisikia yule mama wa nyumba ya tatu alikuwa na vyeti feki mbona nimemuona asubuhi asubuhi anapanda gari kavaa kama anaenda kazini? pia nilisahau yule kijana wa kwa mzee Juma hivi siku hizi anamchukua Bi Chaurembo?
Wallahi Yanga hawawezi kuchukua kombe, iwe isiwe Simba watachukua si unaijua kamati ya ufundi ya Simba.
Nilipita kila kona kukutafuta, nikahisi nimeibiwa moyo umetulia kukuona.Swalamaaa nilikuwa nakutafuta wewe yahee
naam na barza bila mada huwa haliendi maana litakuwa limepowaKwema kiongozi.
Barazani mada moto kama kawaha yetu hii wapi.
mambo kama hayo unatakiwa uyasindikize na kapicha ,vp kwema umeamka salama?Jirani kapicha sina ngoja nifanye jitihada
kama kuna abilia anachuka njiani na yeye kasema haskilizi inakuweje?Anasema yeye ndiye dereva safari inajua inaishia wapi maana hasikilizi abiria.