Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

Enheee, niambieni hapa mtaani nani anampiga miti nani? Hivi yule binti wa Mze nani, anapatikana kivipi?
 
Hivi huyu naye kanunua gari amepata wapi hela? halafu si nilisikia yule mama wa nyumba ya tatu alikuwa na vyeti feki mbona nimemuona asubuhi asubuhi anapanda gari kavaa kama anaenda kazini? pia nilisahau yule kijana wa kwa mzee Juma hivi siku hizi anamchukua Bi Chaurembo?
Wallahi Yanga hawawezi kuchukua kombe, iwe isiwe Simba watachukua si unaijua kamati ya ufundi ya Simba.
 
Moods
naomba mfanyie marekebisho huu uzi isomeke Baraza la Kahawa si baraza la kawaha

ccMoods
 
Enheee, niambieni hapa mtaani nani anampiga miti nani? Hivi yule binti wa Mze nani, anapatikana kivipi?
Yule kashaposwa saiv ,kama ulikuwa wamfatilia ishakula kwako mkuu wenye kisu kikali ndio wanaokula nyama
 
[emoji23][emoji23]Hmm utakua makosa yanatofautiana,lako lilikua liko high in quality
hahaha Binamu leo waniruka wakat ww ndo sababu ya kupigwa ban kwa kunipigisha stor kwenye uzi wa watu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Arabian huo ubinamu wenu na nyoka mzee ni wahalali kweli!!!!????

Usije ukamteka jitani yangu bhanaa bila taarifa

[HASHTAG]#Nyoka[/HASHTAG] mzee#
Hahaha jirani mashkhof ,hahaha sie mabinamu kweli acha wivu jirani ,hatekwi mtu kama ww upo [emoji2] [emoji2]
 
Hivi huyu naye kanunua gari amepata wapi hela? halafu si nilisikia yule mama wa nyumba ya tatu alikuwa na vyeti feki mbona nimemuona asubuhi asubuhi anapanda gari kavaa kama anaenda kazini? pia nilisahau yule kijana wa kwa mzee Juma hivi siku hizi anamchukua Bi Chaurembo?
Wallahi Yanga hawawezi kuchukua kombe, iwe isiwe Simba watachukua si unaijua kamati ya ufundi ya Simba.
Hahahaha ,kanunua gari kalipwa mafao yake ,alikuwa anaidai serikali,Huyo mama mwenye veti feki walimsingizia tu vyeti vyake original kabisa ,kwahiyo karudishwa job
 
Kwanza pole kwa ban Jirani yanguuu
Athante jirani ,na ndomana nimejichimbia hapa ili nisipigwe ban maana mdomo huwa unawasha mie siwezi nikakaa kimya bila stor wasije wakabipiga tena[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom