Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

Mbona wewe hujaenda jeshini ili ukafe kishujaa
Kama unaona ni vyema..
hahaha jeshi limegawanyika mkuu hata kitaa kuna mapambano zaidi ya jeshi [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] usiniambie ?

mbona wataka kuniuwa kwa presha ebu nipe ubuyu huo


Easy man....kwa timu ile inavyokwenda wacha twende hatua ya mtoano utaona wanasiasa ambao ndio ma mastermind wa nchi hii watakavyoigombea kutafuta promo....
Time will tell
 
Jinsi ya KUTENGENEZA UDUGU USIOOZA:
Chukua kiasi kikubwa cha HURUMA [emoji45][emoji45]- angalia kisiwe kikubwa sana - changanya na bakuli moja lililojaa UKARIMU. [emoji4]Ongeza vijiko vitatu vya WEMA[emoji56], kisha koroga pamoja na IMANI,[emoji120] baadae chuja ili kuondoa taka za CHUKI[emoji34], KIBURI,[emoji19] UBINAFSI,[emoji21] UCHOYO,[emoji35] WIVU, [emoji174]UONGO[emoji105] na MAJUNGU.[emoji26] ONGEZA kijiko kimoja cha UPENDO [emoji173]ili kuufanya uchangamke, kisha ufunike na sufuria ya UKWELI [emoji179]ili uumuke. Baadae pasha moto taratibu kwa joto la FURAHA.[emoji38] Ukiwa tayari, pakua na ule kwa TABASAMU.[emoji16] plz share.
Hahaha binam naona haka ni kakitchen party kasichokuwa na vyombo?[emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Back
Top Bottom