Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
- Thread starter
- #421
hahaha nakuona nakuona mume ya jiraniii[emoji87]Nilipita kila kona kukutafuta, nikahisi nimeibiwa moyo umetulia kukuona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha nakuona nakuona mume ya jiraniii[emoji87]Nilipita kila kona kukutafuta, nikahisi nimeibiwa moyo umetulia kukuona.
Hapo ndipo tunaumiza kichwa hii safari tunaimaliza vipi naona dereva ka deactivate brake.kama kuna abilia anachuka njiani na yeye kasema haskilizi inakuweje?
ngoja tufike mwisho itabidi arudishe nauli za wale wote alowapitisha kituoHapo ndipo tunaumiza kichwa hii safari tunaimaliza vipi naona dereva ka deactivate brake.
Ndo inanoga mkuuipo mkuu tukupe na kashata au?
Imekuwa chungu mkuuvp tena mkuu !hutaki gahwa
ni kweli aiseeeNaandaa na kashata mkuu...ili kahawa iwe tamu zaidi
upashkuna wapi kazidi nae[emoji57] [emoji57] [emoji57]Hahahahaha ww nae acha upashkuna
kweli kabisaNdo inanoga mkuu
chukuwa kashataImekuwa chungu mkuu
Yatakosekana vp tena ,barza inasheheni kila kitukwenye baraza magazeti yapo?
Tuombe awe sio dereva wq mwendokasi maana huwa hawatembei na nauli zetu.ngoja tufike mwisho itabidi arudishe nauli za wale wote alowapitisha kituo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha nakuona nakuona mume ya jiraniii[emoji87]
wacha nikae sasaYatakosekana vp tena ,barza inasheheni kila kitu
Hahahahaha... Umenena mkuuBora hata ulivyowahi siti mkuu maana wakija watu utakunywa kahawa huku umesimama utapiteza radha[emoji4] [emoji4] [emoji4]
kwema..!! Vipi hariSafi kwema ndugu?
karibu sanawacha nikae sasa
Hahaha ukubwa DawaHahahahaha... Umenena mkuu
Salama kiongozi lete mpyakwema..!! Vipi hari