Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

kulikuwa kunani huko??


20170522_062845.jpg
 
Sina maana kwamba unaye wewe.... Nina maana kwamba umemkera mpaka ameamua kujificha..... Lakini nimerudi nyumbani nimemkuta kalala.... Dadaako ananipenda sana.
hahaha kama ungekuwa naye usingeniuliza dada angu yuko wapi?

pole sana kwa kujifariji
 
Wakuu mwenye grp la whatsapp la mambo ya kimataifa au siasa za nyumbani ninaomba aniadd..

0739958855
 
Ahsante, Mwanahawa nimemkuta? Basi akirudi naomba umpe hii anuani ya ile Guest niliye ahidiana naye tukutane. Mwambie aje akiwa msafi na kappa deodorant bila kusahau manukato.
mwanahawa alikuwepo ila katoka na jamaa yake ,labda umsubirii
 
Back
Top Bottom