Karibuni chakula

Ila we jamaa bwana hii comment yako ya pili naona unalalamika wanakulingishia misos[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hali ngumu balaa acha kabisa tunaishi nao tu ila hali si hali
 
Viji misosi gani vya mawazo hivo!! ivi vinalazimisha uzungu uzungu mwingi!! mambo yote mwafrica nile nifurahi kabisa lazima iwepo kiti Moto Baba! halafu ndo ndizi sijui pilau zifuate! ! Nguna ya muhogo hapo ndo kidooog utasema una maisha!
 
Ndio hivihivi vya mawazo tunashiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…