cantonna JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 1,120 Reaction score 439 Sep 24, 2014 #1 Kiukweli chuo chetu hakina majengo makubwa ya kutisha, lakini mziki wa kozi tunaoupata kiukweli lazima ujipange kwani wa kufa mtu,kwani hatuendi pale kuchukua degree bali tunaenda pale kuitafuta hiyo degree... karibuni sana Mtwara! N'twara kuchele!
Kiukweli chuo chetu hakina majengo makubwa ya kutisha, lakini mziki wa kozi tunaoupata kiukweli lazima ujipange kwani wa kufa mtu,kwani hatuendi pale kuchukua degree bali tunaenda pale kuitafuta hiyo degree... karibuni sana Mtwara! N'twara kuchele!
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Sep 24, 2014 #2 mnakaribishwa!
P Pure HSM JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 224 Reaction score 32 Sep 24, 2014 #3 Oooh Lord help us! So sadly.