Karibuni Chuo Kikuu cha Stella Maris, Mtwara

Karibuni Chuo Kikuu cha Stella Maris, Mtwara

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,120
Reaction score
439
Kiukweli chuo chetu hakina majengo makubwa ya kutisha, lakini mziki wa kozi tunaoupata kiukweli lazima ujipange kwani wa kufa mtu,kwani hatuendi pale kuchukua degree bali tunaenda pale kuitafuta hiyo degree...

karibuni sana Mtwara!

N'twara kuchele!
 
Back
Top Bottom