View attachment 15728
Huyo njemba tuko naye hapa jamvini, ningekutajieni Id yake lakini naogopa kuvunja mwiko wa JF
Wana JF karibuni Club Continental,kila jumatano kunakuwa na miduara ya ukweli.....ni kuzuri
sana kwa really exchange of ideas na mind refreshment
unamjua Boflo weee!!
unamjua Boflo weee!!
Na wewe boflo unapenda sana kuweka picha yako JF!....hapo ulikuwa kitchen party?
Huyo ni Bilal...
wewe ni mtaalam.....unawajua wote, au uko chamani?
unamchukia kakukosea nini kwani???
taratibu jamani mtakula kifungoNimewamega wote bado wewe tu....