Karibuni Club Continental !!

Karibuni Club Continental !!

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
View attachment 15728
Huyo njemba tuko naye hapa jamvini, ningekutajieni Id yake lakini naogopa kuvunja mwiko wa JF

Wana JF karibuni Club Continental,kila jumatano kunakuwa na miduara ya ukweli.....ni kuzuri
sana kwa really exchange of ideas na mind refreshment
 
Na wewe boflo unapenda sana kuweka picha yako JF!....hapo ulikuwa kitchen party?
 
Na wewe boflo unapenda sana kuweka picha yako JF!....hapo ulikuwa kitchen party?

Mkuu Amoeba,

sijui imekuwaje, siku zote nilikuwa sijasoma huo msimamo wako ... sina mbavu!! ...... hunt it down and kill it!!
 
Hii kontinental inahitaji sapoti ya clienteles nadhani inajuana na talent za kutosha tu kujiendeleza hata huyu safari anaweza kupromoti hii club lakini sijui ataomba nini in return. na katika siku hizi mbili sisiem wakikubali ukweli basi mchiriku kama kazi. paty mziki ya kitu kizima. bling bling usizionee aibu. khalali, kosher yani.
 
Club Continental ipo wapi?

Je Huyo Njemba ni "bwabwa"? Maana "look" yake tells everything!
 
Back
Top Bottom