Karibuni Dodoma; Kwa mahitaji yafuatayo naomba tutafutane

Karibuni Dodoma; Kwa mahitaji yafuatayo naomba tutafutane

Mtoa post wewe ni wakala wa.serikali? Mbona kila kitu unafanya?
 
Jamaa nafurahisha sana ,hajui maeneo ya kuzunguka UDOM kuwa ni Ntyyuka,Makulu au N'gon'ona kule hata chumba cha bure usikuballi😉😉😉
 
Inategemea chumba unachohitaji boss!

Mfano

1; Chumba peke yake.
.Chumba chenye dirisha za kawaida tu yaani frame ya mbao,Nondo,na wavu wa mbu
.chumba chenye sakafu ya kawaida yaani (cement & sand screed floor)

2; Chumba peke yake.
.Chumba chenye dirisha za Aluminium
.chumba chenye sakafu ya Maru maru (tails)

3; Chumba ambacho ni self
.Chumba chenye dirisha za Aluminium
.chumba chenye sakafu ya Maru maru (tails)

4; Chumba kipo wapi? Yaani location ( taja mahali unapotaka kuishi)

Asante na karibu sana Boss
Unzengua
 
Mikanda ya gypsum board ya aina mbali mbali inapatikana kwa kwa bei ya jumla Tsh 2000 tu karibuni sana

52d115f6-c473-4493-a27d-21d7f9bd429a.jpg
e19160a3-5957-4022-ac49-39fab75579ed.jpg
67165612-d7df-4ba3-b8c3-61d4e8b6028c.jpg
711cecaa-645c-4d0a-99ca-20661ec3c15d.jpg
dad448b1-8b89-4ef8-b382-9dfc851c2ca0.jpg
 
nahitaji kufanya biashara ya jumla ya cement na vifaa vingine
 
Mku
Bei ya shamba hekari 1 inategemea na eneo shamaba lilipo mkuu

Mfano

1: NALA hekari 1 unapata kuanzia TSh 1.5M

2: LUGALA hekari 1 unapata kwa TSh 500,000/-

Nk

Asante na karibu sana Boss
Mkuu salama? Shamba hekari moja maeneo ya msalato ndani ndani Kama km 2 Bei zipoje au barabarani happy msalato Bei zipoje?
 
Back
Top Bottom