Kiwanja Sqm kati ya 700-900 Ilazo ama Iyumbu naweza pata kwa bei gani?100,000/-
Kwa nini MkuuJamaa nafurahisha sana ,hajui maeneo ya kuzunguka UDOM kuwa ni Ntyyuka,Makulu au N'gon'ona kule hata chumba cha bure usikuballi😉😉😉
UnzenguaInategemea chumba unachohitaji boss!
Mfano
1; Chumba peke yake.
.Chumba chenye dirisha za kawaida tu yaani frame ya mbao,Nondo,na wavu wa mbu
.chumba chenye sakafu ya kawaida yaani (cement & sand screed floor)
2; Chumba peke yake.
.Chumba chenye dirisha za Aluminium
.chumba chenye sakafu ya Maru maru (tails)
3; Chumba ambacho ni self
.Chumba chenye dirisha za Aluminium
.chumba chenye sakafu ya Maru maru (tails)
4; Chumba kipo wapi? Yaani location ( taja mahali unapotaka kuishi)
Asante na karibu sana Boss
Lugala ipo wapi
Shamba Ekari Moja maeneo ya Mtumba,Vikonje ama Buigili ni kiasi gani ndugu?
Mkuu mimi nahitaji eneo la kujenga supermarket kubwa hapo katkati ya mjini
Hii imeturia Ngosha,ungefungua na ka tovuti,ingekuwa poa sana,
Nenda Jamhuri, utapata vyotenahitaji kufanya biashara ya jumla ya cement na vifaa vingine
Mkuu salama? Shamba hekari moja maeneo ya msalato ndani ndani Kama km 2 Bei zipoje au barabarani happy msalato Bei zipoje?Bei ya shamba hekari 1 inategemea na eneo shamaba lilipo mkuu
Mfano
1: NALA hekari 1 unapata kuanzia TSh 1.5M
2: LUGALA hekari 1 unapata kwa TSh 500,000/-
Nk
Asante na karibu sana Boss