Karibuni Eid ya Ukweee

Karibuni Eid ya Ukweee

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Posts
7,792
Reaction score
3,856
Msikose basi nawasubiri. Ndo nishapakua na masahani yako jamvini
20121026_133910.jpg
20121026_133910.jpg
20121026_134331.jpg
 
Watupa mshawasha bibieeee.....

Naona hapo kuna rosti zito la biriani....

Uwe na moyo wa ukarimu kama huo MadameX
 
Last edited by a moderator:
Mbona Noah hakuna hapo??? nimeghaili nilipanga nije basi tena napita tuuuu.
 
Acheni kututamanisha ambao ni wahanga wa Epicor 9 kwikwi kwikwi kwikwi!!!!
 
MadameX,japo mie hujanikaribisha lakini nita-gatecrash tu.Na hapa nina ndizi na pilipili mfukoni,chezea mnyamwezi wa chem chem weye
 
mie nafanya zoezi la biriani, naona linataka linitie aibu hili pishi
 
Back
Top Bottom