Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mkuu nawewe ulilipiwa ada?7 mar 7 jumlisha 7 unapata 56
Wanaume 7 mara watoto 7 jumla 49
Wanawake 49 mara watoto 7 unapata 346
Then jumlisha 56,49 na 346 unapata jibu kamili.
NYIE NDO MNASUMBUA WATU NA TECNO ZENU, HEBU WEKA JIBU LAKO HAPO NA WEWE, AFU SIO MTOA MADA MBONA SHOBO🤔🤔🤔Mkuu nawewe ulilipiwa ada?
Kuambiwa hivyo ushapaniki, anyway hongera kwa kumiliki macho matatuNYIE NDO MNASUMBUA WATU NA TECNO ZENU, HEBU WEKA JIBU LAKO HAPO NA WEWE, AFU SIO MTOA MADA MBONA SHOBO🤔🤔🤔
JIKITE KWENYE MADA LECTURER WA MZUMBEKuambiwa hivyo ushapaniki, anyway hongera kwa kumiliki macho matatu