Karibuni Kwa Mawazo ya biashara

Aluwatan

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2023
Posts
267
Reaction score
573
Hello Wana jf ukiwa na mtaji wa laki 4 biashara Gani unaweza fanya

Sehemu nilipo ni mkoani, mzunguko wa watu na pesa upo,fursa za biashara ni nyingi ni mtaji wako tu....

Mimi
binafsi nilikua napenda sana biashara ya nguo za mtumba Rasta urembo etc...je Kwa pesa hyo naweza pata mzigo,au wanaojua zaidi nahitaji mtaji wa bei Gani

Mnaweza shauri pia biashara yoyote inayoweza fanyika ukizingatia na maelezo ya eneo niliyosema

Natumai Kuna watu wanatami kujifunza pia,tafadhali wiwa kutoa maoni yako



Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
First of all just bless ur money.
 
Sijui uko mkoa gani ila kama kuna soko fatilia ratiba ya masoko ujue wanafungua mabelo saa ngapi nenda kapoint mtumba kisha kauza

Makesure una jicho
 
Sijui uko mkoa gani ila kama kuna soko fatilia ratiba ya masoko ujue wanafungua mabelo saa ngapi nenda kapoint mtumba kisha kauza

Makesure una jicho
Asante nipo moja ya wilaya za Tanga ...ushauri Kwa anaejua maeneo ya kariakoo ambapo urembo na mtumba unapatkana Kwa bei rahisi naomba msaada

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Ingia insta search Celine Kim store mdada mmoja ni expert WA mtumba anauza mabalo ya mitumba ainazote nguo mabeg ,mashuka etc na ana darasa pia ukitaka kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…