Barikiwa sanaKaribuni! Karibuni! Karibuni wote kwenye kundi jipya! Wanataaluma wa Biblia Wakatoliki Tanzania na waamini wanaopenda Biblia wanafungua Kituo maalum cha kufanyia semina na kutolea kozi za Biblia Jijini Dodoma. Kituo kitajulikana kwa jina la CATHOLIC BIBLICAL CENTRE (CBC). Kituo kinafungua akaunti hii ya WhatsApp kwa ajili ya mawasiliano na kupeana masomo mbalimbali. Karibuni sana! Kundi hili ni kwa ajili ya wote wanaotaka kujifunza Biblia. Katikati ya mwezi ujao, tutaanza kufundisha Biblia Kikatoliki. Kumbe, mnakaribishwa kujiunga. Namba ni 0788462833. Karibuni kujiunga!
From: PD TITUS AMIGU.
ZINGATIA:usitume namba kwenye jukwaa ila tumia iyo namba ya whatsap hapo juu ili kuomba kuunganishwa na kupata maelezo zaidi kuhusu kituo na program zake.
AHSANTENI NA KARIBUNI NYOTE.
Hii kitu ingekuwa Dar ningejiunga. Nina maswali mengi mno ambayo natamani nipate majibu ya kina na najua ni wanazuoni wa Kikatoliki tu ndio wanaweza kuja na facts na kuondoa sintofahamu yangu maana wale wengine maswali yakiwa magumu wanakwambia okoka kwanza ili uelewe maana mambo mengi ni ya kiroho sana!Karibuni! Karibuni! Karibuni wote kwenye kundi jipya! Wanataaluma wa Biblia Wakatoliki Tanzania na waamini wanaopenda Biblia wanafungua Kituo maalum cha kufanyia semina na kutolea kozi za Biblia Jijini Dodoma. Kituo kitajulikana kwa jina la CATHOLIC BIBLICAL CENTRE (CBC). Kituo kinafungua akaunti hii ya WhatsApp kwa ajili ya mawasiliano na kupeana masomo mbalimbali. Karibuni sana! Kundi hili ni kwa ajili ya wote wanaotaka kujifunza Biblia. Katikati ya mwezi ujao, tutaanza kufundisha Biblia Kikatoliki. Kumbe, mnakaribishwa kujiunga. Namba ni 0788462833. Karibuni kujiunga!
From: PD TITUS AMIGU.
ZINGATIA:usitume namba kwenye jukwaa ila tumia iyo namba ya whatsap hapo juu ili kuomba kuunganishwa na kupata maelezo zaidi kuhusu kituo na program zake.
AHSANTENI NA KARIBUNI NYOTE.
Hii kitu ingekuwa Dar ningejiunga. Nina maswali mengi mno ambayo natamani nipate majibu ya kina na najua ni wanazuoni wa Kikatoliki tu ndio wanaweza kuja na facts na kuondoa sintofahamu yangu maana wale wengine maswali yakiwa magumu wanakwambia okoka kwanza ili uelewe maana mambo mengi ni ya kiroho sana!
Yani swali likiwa gumu linahamishiwa kwenye state ya "kiroho" na hoja inafia hapo.
Karibuni! Karibuni! Karibuni wote kwenye kundi jipya! Wanataaluma wa Biblia Wakatoliki Tanzania na waamini wanaopenda Biblia wanafungua Kituo maalum cha kufanyia semina na kutolea kozi za Biblia Jijini Dodoma. Kituo kitajulikana kwa jina la CATHOLIC BIBLICAL CENTRE (CBC). Kituo kinafungua akaunti hii ya WhatsApp kwa ajili ya mawasiliano na kupeana masomo mbalimbali. Karibuni sana! Kundi hili ni kwa ajili ya wote wanaotaka kujifunza Biblia. Katikati ya mwezi ujao, tutaanza kufundisha Biblia Kikatoliki. Kumbe, mnakaribishwa kujiunga. Namba ni 0788462833. Karibuni kujiunga!
From: PD TITUS AMIGU.
------------------------------------------------
Na moja ya mambo yatyofundishwa ni kuandika na kusoma KIGIRIKI na KIEBRANIA ili mtu kwa msaada wa kamusi ndogo aweze kurudi mwenyewe kwenye biblia asilia kwa baadhi ya mambo yatakayotinga.

Hata kama wakiniruhusu nijiunge bure siwezi; hawa ndio waharibifu wa maandiko matakatifu!
Karibuni! Karibuni! Karibuni wote kwenye kundi jipya! Wanataaluma wa Biblia Wakatoliki Tanzania na waamini wanaopenda Biblia wanafungua Kituo maalum cha kufanyia semina na kutolea kozi za Biblia Jijini Dodoma. Kituo kitajulikana kwa jina la CATHOLIC BIBLICAL CENTRE (CBC). Kituo kinafungua akaunti hii ya WhatsApp kwa ajili ya mawasiliano na kupeana masomo mbalimbali. Karibuni sana! Kundi hili ni kwa ajili ya wote wanaotaka kujifunza Biblia. Katikati ya mwezi ujao, tutaanza kufundisha Biblia Kikatoliki. Kumbe, mnakaribishwa kujiunga. Namba ni 0788462833. Karibuni kujiunga!
From: PD TITUS AMIGU.
------------------------------------------------
Na moja ya mambo yatyofundishwa ni kuandika na kusoma KIGIRIKI na KIEBRANIA ili mtu kwa msaada wa kamusi ndogo aweze kurudi mwenyewe kwenye biblia asilia kwa baadhi ya mambo yatakayotinga.
Mshaurini Fr Amigu afungue tawi Dar haraka. Ikibidi hata kwa harambee ni kitu kikubwa mno anafanya.Nadhani kwa Siku za baadaye watafungua Branch Dar. Kwa nijuavyo watu wengi wanahitaji sana huduma hii.
Mshaurini Fr Amigu afungue tawi Dar haraka. Ikibidi hata kwa harambee ni kitu kikubwa mno anafanya.
Hizi zama ni muhimu Kanisa liwekeze elimu ya Biblia kwa waamini ili waweze kujisimamia. Wakatoliki wengi wanayumbishwa mno kwa kutoijua kweli.