Karibuni kwenye Pub yangu inaitwa Runway Pub yangu iliyopo Kinyerezi Mahakamani

Karibuni kwenye Pub yangu inaitwa Runway Pub yangu iliyopo Kinyerezi Mahakamani

username required

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,069
Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani).

Miongoni mwa huduma zetu ni hizi

1) Free WiFi
2) Vinywaji vya kila aina
3) Music
4) Shisha nk

Pia tuna karioke kila siku ya jumapili.
Karibui sana
Kwa maulizo 0746501050
 
Siku nikija mjini nitajaribu kuja hap ila tu kama kuna live band. Si unajua tena mimi ni Pedeshee Tate Mkuu! Mutu ya watu.
 
Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani).

Miongoni mwa huduma zetu ni hizi

1) Free WiFi
2) Vinywaji vya kila aina
3) Music
4) Shisha nk

Pia tuna karioke kila siku ya jumapili.
Karibui sana
Kwa maulizo 0746501050
Sawa mkuu tangazo juu ya tangazo kama bado hujafunga cctv camera tunaweza fanya kazi kaka namba zangu 0753879122
 
Tangazo juu ya tangazo mkuu, nina kijana wangu anaflow Singeli ladha zile za taratibu, kama utahitaji pia itapendeza zaidi. Wiki 3 za mwanzo anafanya bure, kikubwa nauli na msosi
 
Back
Top Bottom