Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Oct 22, 2024 #21 username required said: Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani Click to expand... Hapo wateja watakuwa wanakunywa mguu pande maana mkizidisha muziki ukasikika mahakamani mnazolewa waliokuwemo na wasiokuwemo
username required said: Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani Click to expand... Hapo wateja watakuwa wanakunywa mguu pande maana mkizidisha muziki ukasikika mahakamani mnazolewa waliokuwemo na wasiokuwemo
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Oct 23, 2024 #22 username required said: Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani). Miongoni mwa huduma zetu ni hizi 1) Free WiFi 2) Vinywaji vya kila aina 3) Music 4) Shisha nk Pia tuna karioke kila siku ya jumapili. Karibui sana Kwa maulizo 0746501050 Click to expand... Weka picha mjomba
username required said: Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani). Miongoni mwa huduma zetu ni hizi 1) Free WiFi 2) Vinywaji vya kila aina 3) Music 4) Shisha nk Pia tuna karioke kila siku ya jumapili. Karibui sana Kwa maulizo 0746501050 Click to expand... Weka picha mjomba
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Oct 23, 2024 #23 Hiyo Na 4 ni mchicha?
vamda JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 895 Reaction score 571 Oct 23, 2024 #24 username required said: Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani). Miongoni mwa huduma zetu ni hizi 1) Free WiFi 2) Vinywaji vya kila aina 3) Music 4) Shisha nk Pia tuna karioke kila siku ya jumapili. Karibui sana Kwa maulizo 0746501050 Click to expand... vinywaji vya kila aina = vinywaji vya aina mbalimbali
username required said: Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani). Miongoni mwa huduma zetu ni hizi 1) Free WiFi 2) Vinywaji vya kila aina 3) Music 4) Shisha nk Pia tuna karioke kila siku ya jumapili. Karibui sana Kwa maulizo 0746501050 Click to expand... vinywaji vya kila aina = vinywaji vya aina mbalimbali
Fortilo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,807 Reaction score 17,416 Oct 23, 2024 #25 Mamndenyi said: Hiyo Na 4 ni mchicha? Click to expand... Mamndenyi Baki huko huko Mndenyi🤣
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Oct 23, 2024 #26 username required said: Ipo kinyerezi mahakamani uliza Runway Pub karibu na Ikupa Bakery Click to expand... Hapo polisi post iko jirani tu,full package. Unalewa,unalala sero,kesho mahakamani kosa uzururaji. Tunakuja mkuu usijali
username required said: Ipo kinyerezi mahakamani uliza Runway Pub karibu na Ikupa Bakery Click to expand... Hapo polisi post iko jirani tu,full package. Unalewa,unalala sero,kesho mahakamani kosa uzururaji. Tunakuja mkuu usijali