Karibuni kwenye Send Off party

Hahahaa cwezi kwenda mwali alivyo kicheche nisije ondoka nae.
 
Mimi mtanisamehe! Sinyenyui mguu wangu, kwanza siku yenyewe inawezekana ikawa eid! Atakaefanya madhambi siku ya eid ni sawa na kufanya madhambi siku ya kiama!! (Subhanaallah)

Yote 9, 10 mwambie prince amlete kwanza baba yake king utupolo wa mafichooni, aje ahudhurie pareee ya mwanae kipenzi! Mmiliki wa jiji alilolikimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…