Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liwale pa hovyo tu kufika kwenyewe tabu tu availability ya vitu ni shida mfano matunda nk nimekaa lindi wilaya zote liwale sijapaelewa afu inafata lindi town pia pa hovyo
Vipi liwale na Kilwa wapi nafuu?Liwale ni kwa kimasikini sana, miaka yote kupo isolated kama kisiwani vile...
Vipi liwale na Kilwa wapi nafuu?
Mimi natamani kuelekea Kilwa kwa ajili ya kulima
Nataka kulima miti dawa na inapenda ardhi kama ile ya Kilwa pia mashamba ni bei rahisi sanaSijawahi kufika Kilwa, lakini kwa jinsi ilibyo karibu na pwani sidhani kama inafaa kwa kilimo labda kama unataka kulima mihogo na mbaazi...
Kilwa kubwa sana unayosema wewe ni kivinje na Masoko ila Kilwa inetanuka sana mpaka inafika selous na Kilwa inakuja mpaka lindi mpaka ni mto mbwemkuru sasa kwa upande wa magharibi ni kubwa mno na wana Lima sanaSijawahi kufika Kilwa, lakini kwa jinsi ilibyo karibu na pwani sidhani kama inafaa kwa kilimo labda kama unataka kulima mihogo na mbaazi...
Mimi na fanya kazi lindi ila Wilaya zote hizo nafikaMleta mada atakua analima ufuta huko,ila kimazingira ya kuishi ni tabulele
Lindi tunaishi ila Duuh tunajikaza tuLiwale pa hovyo tu kufika kwenyewe tabu tu availability ya vitu ni shida mfano matunda nk nimekaa lindi wilaya zote liwale sijapaelewa afu inafata lindi town pia pa hovyo
Mimi na fanya kazi lindi ila Wilaya zote hizo nafika
Basi napenda sana maeneo yaliyo karibu na mtoKilwa kubwa sana unayosema wewe ni kivinje na Masoko ila Kilwa inetanuka sana mpaka inafika selous na Kilwa inakuja mpaka lindi mpaka ni mto mbwemkuru sasa kwa upande wa magharibi ni kubwa mno na wana Lima sana
Lakini ardhi bado nyingi na bei rahisi sana. Miaka 50 ijayo hata barabara zitakuwa vizuri. Usiwaze mambo ya leo tuLindi na wilaya zake zote kumenyata sana,huko liwale kipindi cha kifuku hakufikiki.
Kilwa ni wilaya kubwa sana huko pwani ni kisehemu kidogo sana, wasukuma wamejaa huku wanalima ufuta, ufuta haulimwi kwenye ardhi isiyo na rutuba,Sijawahi kufika Kilwa, lakini kwa jinsi ilibyo karibu na pwani sidhani kama inafaa kwa kilimo labda kama unataka kulima mihogo na mbaazi...
How old will you be 50 years to come.Lakini ardhi bado nyingi na bei rahisi sana. Miaka 50 ijayo hata barabara zitakuwa vizuri. Usiwaze mambo ya leo tu
It's a personal issue I can't tell you here publiclyHow old will you be 50 years to come.
Only if you are 27 right now.It's a personal issue I can't tell you here publicly
Mimi nataka kununua mashamba kwa ajili yangu, watoto wangu na wajukuu zangu and 50 years to come I'll still be able to marry a 40 or 50 years woman without any problem
It's not possible for me to tell you how old I'mOnly if you are 27 right now.
All the best.