Karibuni mabingwa wa kuchapia utupe mchapio wako

Karibuni mabingwa wa kuchapia utupe mchapio wako

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Asikuambie mtu michapio mitamu n ya kirugha kwa kiswahili, Tuliosoma mikoani usiombee msambaa achanganye kiswahili na kisambaa, asee n burdan kinyamaa
 
Jamaa aliangusha Goli la wakaanga chips akaambiwa achague polisi au alipe,

akajitia anaweza kuongea haraka haraka akasema
Chips siend na polisi si lipi, Mwishowe kwa aibu aliamua kulipa
 
serikali imeamua kubuni mbinu....kumradhi! Serkali imeamuna kumbuni binu ! samahani kidogo ! serikali imeamua kumbinu buni .....alisikika mtangazaji mmoja wa TV akipata shida na mhariri akamuuliza mbona anapachia sana leo wakati wa kusoma habari
ha ha ha
 
Nliwahi sema UCHUMBI badala ya UCHUMI kwenye kubushana siasa.. Hadi ubishi uliisha kwa wote wakabaki kucheka
 
Unanikumbusha mwalimu wetu alitukana class sasa ile tumemmind akasema "SAMAHANINI ULIMI HAUNA MFAPA" asee tulicheka basi akajitetea tena "JAMANI NIMECHAPIA KITOJO" [emoji23][emoji23][emoji23]
hahhaahhahahahahhaha
 
Asante,Karibuni mabingwi wa kuchapua mh kuchapia mutupe michapio yenu
1:Twende sokoni- Twende chokoni
2:Ametoka kilosa- Ametoka kisola
Aya Endelea nawe
hivi Singa na Yamba zimechoka Ngap Ngap?
Hivi simba na yanga zimetoka ngap ngap?

Jamaniii... Gari limepata habari dararajani.
Jamaniii.. Gari limepata ajari darajani
😀😀😀
 
Back
Top Bottom