tecnohailali
Senior Member
- May 15, 2017
- 168
- 76
mfupa hauna ulimiUlimi hauna mpufa
ha ha haserikali imeamua kubuni mbinu....kumradhi! Serkali imeamuna kumbuni binu ! samahani kidogo ! serikali imeamua kumbinu buni .....alisikika mtangazaji mmoja wa TV akipata shida na mhariri akamuuliza mbona anapachia sana leo wakati wa kusoma habari
yaani hapahapa kuandika tu umechapia hata hatujafika mbali!!!. mchapio wa "standard gauge"Nainga mkonyo hoja......@loading
Mbona umekatisha story? takuwa alikulamba bakola lazima!!!I always find it funny mtu akichapia. Niliwahi kumcheka Mwalimu wangu wa Chemistry nikiwa kidato cha pili.
Hapana hakunilamba...alizoea tu akawa akichapia ananiambia nisicheke.Mbona umekatisha story? takuwa alikulamba bakola lazima!!!
hahhaahhahahahahhahaUnanikumbusha mwalimu wetu alitukana class sasa ile tumemmind akasema "SAMAHANINI ULIMI HAUNA MFAPA" asee tulicheka basi akajitetea tena "JAMANI NIMECHAPIA KITOJO" [emoji23][emoji23][emoji23]
hivi Singa na Yamba zimechoka Ngap Ngap?Asante,Karibuni mabingwi wa kuchapua mh kuchapia mutupe michapio yenu
1:Twende sokoni- Twende chokoni
2:Ametoka kilosa- Ametoka kisola
Aya Endelea nawe