Lameck Dunia JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 291 Reaction score 45 Oct 1, 2014 #1 Shule hii IPO nje ya manispaa ya iringa km 30 kutoka ipogoro upande wa kushoto km ukitokea DSM INA mazingira mazuri IPO Jimbo LA kalenga mwaka Jana ilishika nafasi ya pili kiwilaya INA walimu wakutosha karibuni sana kwa mawasiliano pga 0754917471
Shule hii IPO nje ya manispaa ya iringa km 30 kutoka ipogoro upande wa kushoto km ukitokea DSM INA mazingira mazuri IPO Jimbo LA kalenga mwaka Jana ilishika nafasi ya pili kiwilaya INA walimu wakutosha karibuni sana kwa mawasiliano pga 0754917471
Kaplizer JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 720 Reaction score 582 Oct 1, 2014 #2 Mna advance?
Darius Tanz JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 461 Reaction score 137 Oct 1, 2014 #3 Hii cndo ipo ndiwili kwenye umeme lakini hamna network ya cmu?