Karibuni Magulilwa Sec School

Karibuni Magulilwa Sec School

Lameck Dunia

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
291
Reaction score
45
Shule hii IPO nje ya manispaa ya iringa km 30 kutoka ipogoro upande wa kushoto km ukitokea DSM INA mazingira mazuri IPO Jimbo LA kalenga mwaka Jana ilishika nafasi ya pili kiwilaya INA walimu wakutosha karibuni sana kwa mawasiliano pga 0754917471
 
Hii cndo ipo ndiwili kwenye umeme lakini hamna network ya cmu?
 
Back
Top Bottom