Karibuni mjipatie picha za kuchora

Karibuni mjipatie picha za kuchora

Ungeonyesha sample mkuu
img_7616-african-sad-child-face.jpg
20240331_095038.jpg

Hiyo ni moja ya sample zangu,karibu bosi
 
Asante mkuu. Bora tupige picha wakati tunasaka ajira maana tukizipata huwa tunabadilika sana kutoka uzee tunarudi kuwa vijana wadogo kama serengeti boys
 
Back
Top Bottom