Karibuni mnitakie siku njema ya kuzaliwa

Karibuni mnitakie siku njema ya kuzaliwa

Mungu akujaali miaka mingi na kheri duniani.
 
Uutafute kwanza ufalme wa Mungu na vingine utaongezewa, happy birthday mdogo wetu.
 
Uutafute kwanza ufalme wa Mungu na vingine utaongezewa, happy birthday mdogo wetu.
Ahsante sana kaka mkubwa, Kama ndege wa angani hawapandi wala hawavuni, Je sisi so zaidi ya hao?
Uwe na siku njema.​
 
Back
Top Bottom