Karibuni MUCE,a.k.a PEPONI.

"Jambo la kitoto mtoto akimuambia mtoto mwenzie tunasema watoto wanacheza, jambo la kitoto mtoto akimuambia mtu mzima tunasema mtoto anakua, lakini jambo la kitoto mkubwa akimuambia mkubwa mwenzie kuna walakini" Mrisho mpoto.

Sasa wadogo zangu nyie mambo ya kitoto mnawaambia wakubwa wenzenu halafu mnajiita intellectuals kweli? Anyway acha tuendelee kuchochwa kuni mbichi tukisubiri muive ki intellecual huko kwenye vyuo vyenu.
 
be real on truth always....muce de france
 
hv wanatoa degree tofaut na edu hapo au ndo wadau wa chaki mwa mwi
 
ila mi kinachoniboa muce wakuu....,ni hii week ya orientation mambo slow sana,afu najiuliza ni kwa nini....,TCU kila mwaka wanaleta wasichana wachache MUCE!...,tunakomoana au.....,basi MUCE kiwe chuo cha boys tu....,coz ktk wanafunzi 1000 na......,wasichana ni 200 tu kwa 1st year,jamani hili siwa sawa.....,TCU ITULINDE MUCE.
 
kama hujawahi kufika MUCE ndo utasema ulimbukeni ila kwa ma-intellectuals wa MUCE wanajua ukweli wa ninachokisema!

Mkuu unaijua hasa pepo unayoizungumzia?ila kaa ukijua hakuna chuo kilichokuwa kama pepo,ukitaka futa hiyo pepo na kama ma-intellectuals ndo wako hapo basi tutarajie Taifa la wajinga soon.Masomo mema mkuu msalimie wife yuko third year mwambie simtumii tena hela ya matumizi kumbe yuko peponi.
 

ت bado naendelea kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…