Meja vitalis
Member
- Aug 7, 2013
- 32
- 14
- Thread starter
- #21
Mhhhh!
ndo hvyo! kama huamini waulize wadau wa elimu nchin juu ya sifa na ubora wa MUCE!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhh!
kama hujawahi kufika MUCE ndo utasema ulimbukeni ila kwa ma-intellectuals wa MUCE wanajua ukweli wa ninachokisema!
Mkuu unaijua hasa pepo unayoizungumzia?ila kaa ukijua hakuna chuo kilichokuwa kama pepo,ukitaka futa hiyo pepo na kama ma-intellectuals ndo wako hapo basi tutarajie Taifa la wajinga soon.Masomo mema mkuu msalimie wife yuko third year mwambie simtumii tena hela ya matumizi kumbe yuko peponi.