Karibuni Mwendo kasi Church!

Karibuni Mwendo kasi Church!

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Je wewe ni msichana ulietendwa vya kutosha?
Je hujawai pata milioni kumi tangu uzaliwe?
Je umekuwa ukiomba bila mafanikio?
Je umekuwa ukilala unaota unamgegeda housegirl wako?
Je umekuwa ukilala unaota unagegedwa?
Je umekuwa na ndoto za kufanya kazi ikulu ya wachawi?
Je unatamani kuwa tajiri ?
je umekuwa ukila ushibi?
jE umeomba mme mwema ukapew wanaume wa DAR?
je umeomba mke ukapewa nunga embe?
Je unapenda kuingia Benki na kuchukua pesa paspo kuzifanyia kazi?
JIBU NI KANISA LA MWENDO KASI. karibuni sanaaaaaa! tupo makangalawe chalinze!
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] weka ratiba ya ibada
 
Haaa haaa haaaa eti umekuwa unakula hushibi??
acha kuchekesha wagonjwa wa ICU....
 
Maajabu ni kwamba kwa hapa tanzania hilo kanisa la mwendokasi litapata wafuasi wengi kwelikweli!
 
Back
Top Bottom