Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
Honey Faith hiyo mboga moja ya majani chungu balaa sijui hata niielezeaje
Huo mkalifya ukamix na mboga nyingine ukatoa kitu cha msapulo ukishushia na ulanzi si mchezo ni balaa.
Huo mkalifya ukamix na mboga nyingine ukatoa kitu cha msapulo ukishushia na ulanzi si mchezo ni balaa.
Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apaKipindi maalumu tunaita wa msimu kila baada ya siku 2 huwa natumiwa ulanzi kwenye abood kutoka iringa kuja dar. Napamiss sana ipogoro home sweet home.
HahahahUlivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa
Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa
Hapana mkuu ulanzi wa saizi sio mzuri sana unaeza kukatisha leseni kilazimaBila shaka ndo unapiga ulanzi hapo kwa mwagongo kilabu Mkuu!...
Wasalimie sana hapoUlivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa