Karibuni sana Iringa wanaJF

Karibuni sana Iringa wanaJF

Mtu kutoka Iringa mjini naomba kuuliza kuna yule dada kichaa, alikuwa anaitwa Merina. Bado yupo?
 
Ulanzi ni dawa ya minyoo. Hivyo kwa watumiaji wa hiyo bidhaa hakuna ulazima wa kunywa mabendazole
 
Upate huo Msapulo uliokolea pilipili za kutosha nyama ya mbuzi choma Mkangafu kwa sana Baridi ya hapa hata si sikii
Huo mkalifya ukamix na mboga nyingine ukatoa kitu cha msapulo ukishushia na ulanzi si mchezo ni balaa.
 
Kipindi maalumu tunaita wa msimu kila baada ya siku 2 huwa natumiwa ulanzi kwenye abood kutoka iringa kuja dar. Napamiss sana ipogoro home sweet home.
Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa
 
Back
Top Bottom